[fpc_post_grid grid="10" limit="10" show_category_name="false" image_height="320" image_width="150" orderby="menu_order" order="ASC"]
![DOWNLOAD: Imani Eric Shoo – Ameinuliwa [Mp3, Lyrics & Lyrics]](https://i0.wp.com/gospelfocus.com.ng.ng/wp-content/uploads/2022/10/maxresdefault-236.jpg?resize=500%2C281&ssl=1)
DOWNLOAD: Imani Eric Shoo – Ameinuliwa [Mp3, Lyrics & Lyrics]
Another song drops from the African Christian/Gospel worship minister, and song writer “Imani Eric Shoo“, tagged “Ameinuliwa”.
LYRICS: Ameinuliwa – Imani Eric Shoo
Mito yatiririka mahali hapa,
Jina la Bwana Yesu linatukuzwa,
Ameinuliwa,
Juu ya milima mbingu na dunia,
Ni mali ya Bwana.
Uinuliwe,
Uinuliwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme,
Juu ya vizazi vyote Jehova
Uinuliwe.
Uabudiwe,
Uabudiwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme, juu ya vizazi vyote Jehova,
Uabudiwe.
Uheshimiwe,
Uheshimiwe, juu ya miungu,
Juu ya wafalme, juu ya vizazi vyote Jehova,
Uheshimiwe.
VIDEO: Ameinuliwa by Imani Eric Shoo
LISTEN & DOWNLOAD: Ameinuliwa by Imani Eric Shoo
[maxbutton id="2"]
[maxbutton id="1"]
[maxbutton id="1"]